
kiungo nyota wa La Galaxy ya Marekani,ambaye amefanikwa kuiwezesha timu hiyo kutwaa ubingwa wa ligi kuu nchini humo yupo mbioni kujiunga na club ya Paris saint Germain ya ufaransa kwa mkataba mnono,PSG imeamua kufanya mchakato huo baada kuona club iliyokuwa ikumuania TOTTENHAM,kusitisha mchakato wa kumchukua kiungo huyo wa zamani wa Man U na Real Madrid
No comments:
Post a Comment