Arsenal wameorodheshwa katika kundi moja na BATE Borisov, Cologne na Red Star Belgrade katika michuano ya kombe la ligi ya Yuropa.
Ni mara ya kwanza katia kipindi cha miaka 20 kwa Gunners ambao walimaliza wa tano katika ligi ya Uingereza msimu uliopita kushiriki katika ligi hiyo ya pili ya Ulaya.
Everton pia wako katika ligi hiyo wakiwa katika kundi moja na Lyon ambao wataandaa mechi ya fainali mnamo tarehe 16 mwezi Mei 2018.
Toffees pia watakabiliana na timu ya ligi ya Serie A Atalanta na Apollon Limassol ya Cyprus.
Hivi ndivyo ilivyo:
Group A: Villarreal, Maccabi Tel Aviv, Astana, Slavia Prague.
Group B: Dynamo Kiev, Young Boys, Partizan Belgrade, Skenderbeu.
Group C: Sporting Braga, Ludogorets, Hoffenheim, Istanbul Basaksehir.
Group D: AC Milan, Austria Vienna , Rijeka, AEK Athens.
Group E: Lyon, Everton, Atalanta, Apollon Limassol.
Group F: FC Copenhagen, Lokomotiv Moscow, Sheriff Tiraspol, FC Zlin.
Group G: Vitoria Plzen, Steaua Bucarest, Hapoel Beer-Sheva, FC Lugano.
Group H: Arsenal, BATE Borisov, Cologne, Red Star Belgrade.
Group I: Salzburg, Marseille, Vitoria Guimaraes, Konyaspor.
Group J: Athletic Bilbao, Hertha Berlin, Zorya Luhansk, Ostersund.
Group K: Lazio, Nice, Zulte Waregem, Vitesse Arnhem.
Group L: Zenit St Petersburg, Real Sociedad, Rosenborg, Vardar.
No comments:
Post a Comment