tuwasiliane

Wednesday, December 14, 2016

KLABU YA Urussi watoa ofa kwa nyota wa AzamAmoah, raia wa Ghana mwenye umri wa miaka 20 alisajiliwa mwanzoni mwa msimu huu akitokea Medeama.
Azam walivutiwa na Amoah, 20 baada ya kumuona katika mashindano ya Kombe la Shirikisho akiichezea Medeama.Kwa upande mwingine blog hii imejaribu kufanya mawasiliano na uongozi wa Azam fc kuweza kuthibitisha habari hii,viongozi hao wamedai bado klab hiyo haijaweza kufanya mawasiliano nao,so muda ukifika wamesema watautaalifu uma

No comments:

Post a Comment