Msomaji wa blog hii bwana Gadiel Japhet amefanikiwa kuiacha klab ya maseja baada ya jana kufanikiwa kufunga ndoa na bi Grace Gadiel,ndoa yao ilifungwa katika kanisa la Anglikana magomeni Kilosa na kufuatiwa kwa sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa Mamboya comlex manzese kilosa.blog hii inampa pongez bwana Gadiel na mkewe bi Grace
hapa wakati wakiingia kitu cha red capet ilikuwa hatari aisee
bloga nae nilikuwepo kumpa kampani mdau kitu cha sut and tie hahah haha
No comments:
Post a Comment