tuwasiliane

Friday, July 4, 2014

ATHUMANI IDDI 'CHUJI' WA YANGA ATUA AZAM FC!


 Aliyekuwa kiungo wa timu ya Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' amejiunga na Azam FC.

Athumani Iddi 'Chuji' jana asubuhi ameungana mazoezini na hiyo klabu bingwa ya Tanzania Bara, Azam FC katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.Ila hadi tunaandika habari hizi tulishindwa kuwapata viongozi wa Azam fc kuthibitisha kama wameshamsajili Chuji au yuko katika majaribio.kila la heri chuji

No comments:

Post a Comment