tuwasiliane

Friday, June 20, 2014

LADY JAY DEE AKANA KUMPIGIA MAGOTI RUGE

Mwanamuzi nguli wa RNB nchini Lady Jay dee amekana taafifa ambazo zimetoka kwenye gazeti moja linalotoka kila wiki kuwa yeye amempigia magoti meneja wa Cloud Fm Ruge Mutahaba,Jay Dee amepost hivi kwenye Page yake ya face book


Nakanusha tena na tena, hii habari ni ya uongo na sijui walio andika wana nia gani. Hiki kitu hakiwezi kuja kutokea. ..naweza kupiga magoti mbele za Mungu na mama yangu mzazi tu.

No comments:

Post a Comment