Haina
shangwe: Nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo akiondoka baada ya
kuifungia Ureno bao la pili katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Ghana, mchezo
wa Kundi G Kombe la Dunia nchini Brazil. Bao lingine la Ureno
lilifungwa na Boye, wakati bao la Ghana lilifungwa na Akwasi Appiah.
Ureno na Ghana zote zimetolewa, wakati Ujerumani na Marekani zimetinga
16 Bora kutoka kundi hilo.
No comments:
Post a Comment