tuwasiliane

Friday, June 20, 2014

COSTA RICA YAFUZU 16 BORA,YAIPIGA ITALY 1-0Timu ya taifa ya Costa Rica imefuzu hatua ya makundi ya michuano ya dunia baada ya kuifunga timu ya taifa ya Italy goli 1-0 huu ni ushindi wa pili kwa Costa rica kwani mechi yao ya kwanza waliwafunga Uruguay goli 3-1 hivyo wamefikisha alama 6 na kufuzu 16 bora. Costa Rica wamefunzu hatua hii kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1958.bao pekee la Costa Rica limefungwa na Brayan Ruiz katika dakika ya 44 ya kipindi cha kwanza
 
TIMU yaTaifa ya Italia maarufu kama Azzuri imeangukia pua usiku huu katika mchezo wa kombe la dunia kundi D baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Costa Rica.
Costa Rica wamepata ushindi wa pili katika kundi lao kwani mchezo w aufunguzi waliwafunga Uruguay mabao 3-1.
Kwa matokoe hayo, Costa Rica wamefuzu kwa mara ya kwanza hatua ya 16 tangu mwaka 1958.
  Bao pekee la Costa Rica limefungwa na Bryan Ruiz katika dakika ya 44 ya kipindi cha kwanza.
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=2404#sthash.7POGfDBa.dpuf

No comments:

Post a Comment