tuwasiliane

Monday, June 30, 2014

COSTA RICA SASA KUKIPIGA NA UHOLANZI KTK ROBO FAINALI,YAITOA UGIRIKI KWA PENATI

 
Wachezaji wa Costa Rica wakimpongeza mwenzao, Bryan Ruis baada ya kufunga bao la kuongoza katika sare ya 1-1 na Ugiriki Kombe la Dunia hatua ya 16 Bora. Costa Rica imeenda Robo Fainali kwa ushindi wa penalti 5-3 baada ya sare hiyo ndani ya dakika 120 na sasa itamenyana na Uholanzi, ambayo mapema iliitoa Mexico kwa kuifunga mabao 2-1.

No comments:

Post a Comment