tuwasiliane

Monday, June 16, 2014

AZAM FC WAANZA MAZOEZI LEO

 
Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara Azam Fc leo wameanza Rasmi mazoezi ya kujiandaa na ligi kuu Tz Bara pamoja na Mashindano ya ligi ya mabingwa Afrika.
Mazoezi hayo yamefanyika kwenye uwanja wake uliopo chamazi jijini dar es salaam chini ya kocha msaidi Kalimangonga Ongala, Ibrahim Shikanda, Iddy Cheche pamoja na kocha wa Makipa Iddy Abubakari.
Kocha mkuu Joseph Omog anatarajia kujiunga na timu tarehe 20/6/2014.

No comments:

Post a Comment