tuwasiliane

Monday, June 23, 2014

ALGERIA YANUSA 16 BORA, YAIPIGA SOUTH KOREA 4-2

South Korea 2-4 Algeria: Fennecs on brink of last-16 after six-goal thriller


Timu ya taifa ya Algeria imejiweka katika nafasi nzuri ya kutinga 16 bora ya kombe la dunia baada ya kushinda kwa goli 4-2. dhidi ya timu ya south Korea,katika mchezo huo uliomalizika hivi punde hadi half time algeria ilikuwa ikiongoza kwa goli 3-0. magoli ya Algeria yamefungwa na Sliman(dk26), Halliche daakika 28,Djabou dakika 38,Yacine Brahime dakika 62, magoli ya South Korea yamefungwa na Son dakika 50 na koo dakika ya 72
Slimani katika dakika ya 26, Halliche 28, Djabou 38, Yacine Brahimi 62.
 Mabao ya Korea kusini yamefungwa na Son katika dakika ya 50 na Koo dakika ya 72.
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=2468#sthash.7QiVlYTU.dpuf

No comments:

Post a Comment