tuwasiliane

Monday, April 7, 2014

RIDHIWAN KIKWETE ASHINDA UCHAGUZI CHALINZE

 
Habari ambazo blog hii imezipata kutoka Chalinze kuwa mgombe wa CCM, bwana Ridhiwan Kikwete ameshinda kwa kishindo,mgombe huyo wa ccm amepata kura 23,612,wakati mgombea wa chadema amepata kura 2,983  ,mgombea wa cuf 476, mgombea wa  nra 75 ,mgombea wa afp 59. Hongera Mhe Ridhiwani Kikwete kwa ushindi wa unono....

No comments:

Post a Comment