tuwasiliane

Monday, December 16, 2013

SUALA LA OKWI KUJIUNGA YANGA NIPE MAONI


MAONI YA WADAU

1.BANGAIZA AKIDA.KUTOKA MUHEZA TANGA
ANASEMA, OKWI KUTUA YANGA NI SAHII,KUANGALIA MASLAI YAKE,VIONGOZI WA YANGA WAKO MAKINI WANAJUA WANACHOKIFANYA, SIMBA SIASA NYINGI BILA VITENDO

2. JUMA KUTOKA MM,
ANASEMA NI SAHIHI OKWI KUTUA YANGA,YEYE ANAMPOKEA KWA MIKONO MIWILI JANGWANI

3. GIBSON LINUS. KUTOKA MUHEZA TANGA
ANASEMA OKWI KARIBU JANGWANI, ILA ANAIOMBA YANGA AKING`ARA AKIPATA TIMU NJE WAMWACHE AENDE WASIMBANIE

4. EGNO HAULE WA KYELA MBEYA
ANASEMA AMEFURAHI SANA OKWI KUTUA YANGA WAPINZANI WATAKOMA

5.FRANCIS MFUGALE WASUMBAWANGA
ANASEMA MWACHE OKWI AENDE YANGA KWASABABU HUO ULIKUWA UZEMBE WA SIMBA J/-MOSI ATAANZA KUWATESA WENYEWE ANGEKUWA SIMBA MPAKA SASA LAKINI SIASA ZIMEZIDI KULIKO VITENDO

6. LINUS KYANDO WA KILOLO,
YANGA WAMELAMBA DUME, BINKLEB ANATISHA SANA YEYE NI GENERAL HANS POPE NI LANSCOPRO

7 THOBIAS MARTIN WA KIWALANI DSM
ANASEMA YEYE BINAFSI KUSAJILIWA KWA OKWI JANGWANI NI SAHII YANGA INAHITAJI WASHAMBULIAJI WENYE KASI ZAIDI KAMA OKWI

8.PAPAA MUSOPA,
ANASEMA OKWI NI MCHEZAJI MZURI APEWE USHIRIKIANO ILI TIMU IPATE MATOKEO MAZURI

9.NYANDA KONDELA WA NKOME GEITA
ANASEMA YANGA IMEFANYA VYEMA KUMSAJILI OKWI, VIONGOZI WA YANGA WAMETULIA SIO KAMA WA WENZAO SIMBA

10. MWARABU WA KIZOTA GARAGE
ANASEMA, OKWI KARIBU YANGA UKUTANE NA MAFUNDI WENZIO WA SOKA CHEZEA YANGA WEWE

11. BUNGAIZA WA SOKO LA MGANDINI TANGA
ANASEMA HONGERA OKWI KWA KUCHAGUA KWENDA KUFANYA KAZI NA NGASA,KIIZA, NIYONZIMA SASA NI WAKATI WA RAGE KUTUELEZA UKWELI WATANZANIA KUHUSU PESA ZA OKWI, MMMH BIN KLEB NA MAGARI NYINYI MNATISHA\

12. KAIZA KUTOKA KIMARA DSM
ANASEMA OKWI KACHAGUA SEHEMU SAHIHI BUT TIMU YA SIMBA IKAE CHONJO YANGA INATISHA, DAIMA MBELE NYUMA MWIKO

13 HAJAWEKA JINA
 ANASEMA ANAPENDA KUPONGEZA UONGOZI WA YANGA KWA KUMSAJILI OKWI

14.NGUSA SEPA WA SERENGETI
 USAJILI HUO NI SAWA NA ULE WA NGASA, TWITE NA YONDANI, HIYO ITC YA OKWI NANI KAITOA?COS SIO MCHEZAJI HURU ,UBABAISHAJI

15. JUMAA NG`ATO KUTOKA LUNDU MATOMBO, MOROGORO
 ANASEMA SIMBA KUMUACHA OKWI KUSAINI YANGA NI SAWA ADUI KUMPA SILAHA, KAZI KWENU MSIMBAZI

16.MAFUMBI JONASI, KUTOKA NYASA
ANASEMA ANAUOMBA UONGOZI WA YANGA UMPE USHIRIKIANO OKWI ILI AWEZE KUNG`ARA KTK MZUNGUKO WA PILI


17. ANOLD KITAPONDYA WA UBUNGO DSM
ANASEMA OKWI KUJIUNGA NA YANGA NI JAMBO LA MAANA SANA KWANI ATAWASAIDIA KWENYE MASHINDANO YA KIMATAIFA HAPO MWAKANI

18. MUDY MAPE WA MDAULA
ANASEMA OKWI NI MCHEZAJI NA SIKU ZOTE MCHEZAJI HANA TIMU, YUKO KUTAFUTA MASLAHI SO KUTUA YANGA NI SAWA

19.A KIZINGA.
ANASEMA WANASIMBA OKWI TUMESHAMUUZA RAGE AWAPE CHAO, HAKUNA KINACHOENDELEA

20. IMA WA MAKOKA
 ANASEMA KWA HILI OKWI KUSAINI YANGA NI BONGE LA FILAMU, ILA RAGE ANAHUSIKA, WANASIMA TUSIWE WAJINGA KIASI HIKI

21.KAJIVO AKA RVP WA TANGA
ANASEMA, YEYE ANAONA OKWI KAPOTEA NJIA HIZI YANGA NA SIMBA ZIMETAWALIWA NA SIASA NA MAJUNGU MWANZO MWISHO ANGEENDA HATA MBYA CITY INGEKUWA POA

22.TERRY SAID WA ZANZIBAR.
ANASEMA SIJUI YANGA WAMECHUKUA KIGEZO GANI KUMSAINISHA OKWI,ILA KAMA WAKO SAHII NA WANACHOKIFANYA BILA SHAKA ITAKUWA NI PIGO LA MWAKA KWA SIMBA

23.SUMA WA MAKUYU, MOROGORO
ANASEMA KWA KUMSAJILI OKWI BIN KLEB UNATISHA KAMA NJAA

24.VICENT. T ZINGA KUTOKA DSM
ANASEMA KWA MAONI YAKE OKWI KUSAINI YANGA  NI SAHIHI KABISA YANGA NI TIMU BORA NA NJIA YA KWENDA ULAYA KAMA NOMDA SHABANI PAPII

25. ABDALAH KACHALA B, GAMOYO

ANASEMA SAFI SANA OKWI KUJIUNGA NA JANGWANI WACOMORO WATAKUFA NYINGI






JAMANI KWA SASA NASITISHA KUPOKEA SMS ZENNU NIMESHUKURU SANA KWA WALE AMBAO WALITUMA SMS ZAO, NIMEPOKEA SMS 1000, NIMESHIDWA KUPOST ZOTE ,SAMAHANI SANA KWA WALE AMBAO SMS ZAO SIJAZIANDIKA HAPO JUU

No comments:

Post a Comment