HABARI AMBAZO BLOG HII IMEZIPATA HIVI PUNDE MUHADHIRI MAARUFU NCHINI SHEHE PONDA ISSA PONDA AMEPIGWA RISASI NA KUJERUHIWA VIBAYA SEHEMU YA BEGANI WAKAI AKIHUTUBIA KWENYE MUHADHARA WA DINI YA KIISLAM,
CHANZO CHETU KINADAI MTU ALIYEMPIGA SHEHE PONDA ALIKUWA MBANI NA BUNDUKI YENYE LENZI.
No comments:
Post a Comment