tuwasiliane

Wednesday, June 12, 2013

AMRI KIEMBA ALAMBA MIL 50 HUKU AKISAINI MIAKA MIWILI SIMBA

Kaka yake Amri Kiemba akisaini kuchukua fedha za mdogo wake (Sh. Milioni 50), baada ya kiungo huyo kusaini Mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuichezea Simba SC mchana wa leo. Wengine pichani ni Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Joseph Itang'are 'Kinesi' na Damian Manembe kulia wakati kushoto ni Salum Pamba, Wajumbe wa Kamati ya Utendaji.

Milioni 50 za bwana mdogo zifike salama

Sura ya fedha; Amri Kiemba akiwa Nahodha wa Simba SC, Juma Kaseja

Mafungu matano yenye Milioni 10 kila moja...

No comments:

Post a Comment