NIMECHAGULIWA KUWA MGOMBEA WA NAFASI YA UJUMBE WA BARAZA LA KATIBA KUPITIA KITONGOJI CHANGU
hatimaye bloga nimefanikiwa kuchaguliwa kuwa mjumbe wa baraza la katiba la kata kupitia kitongoji chetu cha mvumi, katika uchaguzi ambao ilifanyika jana huko mvumi, kwahiyo nasubili uchaguzi wa ngazi ya kata ambao utafanyika kesho
No comments:
Post a Comment