tuwasiliane

Friday, April 12, 2013

LEO NI SIKU YA KUMBUKUMBU YA EDWADI MORINGE SOKOINE

leo ni kumbukumbu ya Edward Moringe Sokoine

Aliwahi kuwa waziri wa Tanzania 1977 hadi mwaka 1980 na kuendelea tena na cheo hicho 1983 hadi tarehe 12 April 1984 alipofariki dunia kwa ajali ya gari. Hadi sasa imetimia miaka 29 toka alipofariki.

No comments:

Post a Comment