Taarifa ambazo blog hii imezipata kutoka Geita ni kwamba Ucku wa kuamkia leo kwenye saa 7 ucku
majambazi wame2mia silaha nzito kuvamia ofic ya Finca mjini maelezo
zaidi 2subiri kamanda wa polic wa mkoa atakapoongea na news press. Sauti
ya rocket ranger imeckika inasemekana ndiyo iliyobomoa geti.
blog hii itaendelea kukupa taarifa ya tukio hili
source; dulla balawaz geita
No comments:
Post a Comment