XCLUSIVE; YAW BERKO ATUA FC LUMPOPO KWA MKOPO
Klabu ya Yanga wapo katika hatua za
mwisho za kumtoa golikipa wao wa kimataifa kutoka Ghana Yew Berko kwenda
klabu ya FC Lupopo ya Congo kwa mkopo.
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika kutoka Yanga ni kwamba klabu hiyo wanampeleka Berko FC Lupopo ili waweze kupata nafasi ya kumuongeza Kabange Twite katika usajili wa dirisha dogo.
Berko
jana alionekana akiwa katibu wa Yanga wakiwa katika ofisi za ubalozi wa
Congo wakifuatilia taratibu mbalimbali za viza ya kwenda nchini Congo
kwa ajili ya kujiunga na Lupopo.
 |
Kabange Twite |
Kabange
Twite inasemekana ameshamalizana na Yanga na siku chache zijazo atakuja
kujiunga na timu yake mpya ili kuanza kujipanga na msafara wa klabu
hiyo kwenda nchini Uturuki kwa ajili kuajindaa na ligi kuu ya Tanzania bara.
No comments:
Post a Comment