tuwasiliane

Friday, July 20, 2012

20 JUL.Madee aionya Serikali ya JK!


Toka pande za Manzese, Rais wa familia ya Tiptop Connection, namzungumzia Ahmed Ally ‘Madee’ ameionya serikali juu ya matukio ya ajali yanayoendelea kutokea nchini kwetu.

Akiongea jana huku akionekana kuwa huzuni kubwa, Madee, alisema kuwa imekuwa ni desturi kwa matukio ya ajali yanayosababishwa na usimamizi mbovu wa mamlaka zinazohusika na usafirishaji juu ya vyombo chakavu vinavyotumiwa na wafanyabiashara.

“Si siri nimesikitishwa sana na taarifa ya ajali ya meli iliyotokea juzi, kwani ni mara ya pili sasa jambo hili kutokea, naiomba Serikali kuchunguza vyombo hivyo kabla ya kupewa leseni ya kusafirisha abiria,” alisema Madee.

Ajali hiyo ya meli ya Stargic ilitokea juzi

No comments:

Post a Comment