KWA MASAADA WA MASOUDI SIMBA
Tukio hilo limetokea jana linasikitisha sana ingawa source yake ni kitambo kidogo,
tukio linawahusu mabodaboda,kuna bodaboda mmoja alitekwa na watu wasiojulikana,
maeneo karibu na sehem moja inayoitwa Mmnyuz,watu hao walimuua na kumchinja kichwa kama kuku na kukitenganisha na kiwiliwili,wakamkata ulim na vidole kisha wakamuweka kwenye mfuko wa salfet na kumtupa porini.
mtu yule alikaa mpaka akaanza kutoa harufu{wakat huo wenzake hawajui yuko wap na wala bodaboda yake hawaioni}.
Siku moja kuna mmbwa alickia ile harufu akaenda mpaka eneo la tukio bas akakuta mzoga na kuanza kujisevia,baada ya kushba na krud home mwenye mbwa anamuona mbwa wake kaenenea dam mdomon ndio akamua kufuatilia nakuukuta mzoga huo wa binadam.
ndipo ilipogundulika kua jamaa kafa,baada ya hapo mda mchache tena boda boda mwingine akauwawa na pikpik yake kuchukuliwa, ndipo boda boda walipocharuka na kufanya msako mkali wa uchunguzi ili kuweza kuwatambua watu hawa , sasa jana walifanikiwa kumnasa mtu mmoja wakampiga sn mpaka jamaa akaanza kuongea na kutaja mtandao mzima unaohusika.
Baada ya hapo jamaa akapigwa mpaka akafa then wakachukua mpira wakamfunga kwenye pikpik na kuanza kumburuza kwenye rami toka manundu {Korogw mjin} mpaka hospital ya Magunga na kurud nae mpaka jamaa kachunika mwili mzma akawa hatamaniki,baada ya hapo wakaanza kuwasaka.
wale wengine waliotajwa kwenye mtandao,ndipo wakamkuta jamaa yupo baa moja anakunywa inaitwa Mountain view ndipo wakamkamata, lkn wakt huo police now walikawa wamefika, so ikaanza vita kati ya mapolice na madereva wa boda, police wanamhitaji yule mtuhumiwa waende nae kituon ili sheria ifuate mkondo wake maboda nao hawataki,mwishowe police wakatumia mabomu ya machoz lakin wapi,
wakaamua kutumia vyombo vya moto [bunduki] ambapo boda mmoja alipigwa risasi ya kifua na kufariki baadae akiwa hosp na wawili walipigwa risasi za paja lkn pia police walishndwa na kuamua kuwaachia mabodaboda mtu wao ambae nae alipigwa na kufungwa kwenye pikpik na kuanza kuburuzwa tena mpaka nae akawa nyang'a nyang'a ,kisha waenda ktk viwanja vya TTC Korgw na kuwachoma motto.
Mji ulienea moshi wa mabomu mpaka ukawathir hata abiria waliokua ndan ya magar yao wakipita kuelekea Dar au Arusha.
No comments:
Post a Comment