tuwasiliane

Sunday, July 15, 2012

15 JUL.AMIR KHAN ADUNDWA NA DANNY GARCIA ALFAJIRI YA LEO


Amir Khan bondia wa Uingereza leo amepigwa kwa mara yakwanza kwenye historia ya career yake ya ngumi na Danny Garcia kwa kipigo kikali sana, akidondoshwa mara ya tatu kwenye raundi nne za kwanza na hatimaye refa akaamuru mchezo umalizike baada ya Muingereza huyo mwenye asili ya kidosi kudondoshwa kwa mara ya tatu.

No comments:

Post a Comment