Katika hali ya kushangaza bondia Francis Cheka leo amemkimbia mpinzani wake Japhet Kaseba baada ya kugoma kupigana dakika kadhaa kabla ya pambano lao lilopangwa kufanyika leo uwanja wa taifa kwenye tamasha la matumaini. Cheka akizungumza na waandishi wa habari alitoa sababu ambazo kwa wengi zilionekana hazina mashiko - eti kwamba Kaseba sio saizi yake hivyo hawezi kupigana na mambo mengine yasiyo na maana. Kwa taarifa zaidi kuhus Cheka endelea kutembelea www.heavytalio.blogspot.com
Sunday, July 8, 2012
08 JUL.FRANCIS CHEKA AOGOPA KUPANDA ULINGONI, JAPHET KASEBA APEWA USHINDI
Katika hali ya kushangaza bondia Francis Cheka leo amemkimbia mpinzani wake Japhet Kaseba baada ya kugoma kupigana dakika kadhaa kabla ya pambano lao lilopangwa kufanyika leo uwanja wa taifa kwenye tamasha la matumaini. Cheka akizungumza na waandishi wa habari alitoa sababu ambazo kwa wengi zilionekana hazina mashiko - eti kwamba Kaseba sio saizi yake hivyo hawezi kupigana na mambo mengine yasiyo na maana. Kwa taarifa zaidi kuhus Cheka endelea kutembelea www.heavytalio.blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment