tuwasiliane

Monday, July 2, 2012

02 JUL. TORRES ATWAA KIATU CHA DHAHABU


HATIMAYE MCHEZAJI WA SPAIN, FREDINANDO TORRES AMEFANIKIWA KUPATA KIATU CHA DHAHABU KATIKA MICHUANO YA EURO 2012.

TORRES AMBAYE ALIKUWA NA UKAME WA MAGOLI KATIKA TIMU YAKE YA CHELSEA TANGU AJIUNGE NAYO AKITOKEA LIVERPOOL HALI ILIYOKUWA INAPELEKEA KUTAKIWA NA KLABU HIYO KUTOLEWA KWA MKOPO KWENDA KLABU NYINGINE YEYOTE

TORRES AMBAYE JANA ALIINGIA KIPINDI CHA PILI BAADA YA KUTOLEWA KWA CES FABRIGAZI ALIWEZA KUIFUNGIA TIMU YAKE GOLI LA TATU AMBALO LILIKUWA GOLI LAKE LA NNE KWA MASHINDANO HAYO, PIA GOLI LAKE LA 31 KWA TIMU YA TAIFA.

MPO WASHABIKI WA TORRES?

No comments:

Post a Comment