
Siku chache baada ya kurudi nyumbani RChuga (Arusha) baada ya kuzinguana na Rais wa kundi la Tiptop Connection 'Madee', msanii Dogo Janja anarudi tena Dar kwa ajili ya mkataba mnono wa kupiga kazi.
Mwakilishi toka kampuni linalojihusisha na burudani liitwalo Watanashati Company wameteta jana kuwa wako mbioni kusign mkataba mnono na Dogo Janja Siku ya leo Ijumaa.
Mpaka wanaongea jana walikuwa wameshamtumia ticket ya ndege kuja Dar es salaam kwa ajili ya shughuli hiyo.
...So Dogo Janja will be back in Dar....lets wait and see.......
No comments:
Post a Comment