tuwasiliane

Saturday, May 26, 2012

26 MAY. HABARI PICHA


Marais wastaafu wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi (kulia), Benjamin Mkapa (kushoto), Rais mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume (katikati) sambamba na marais wengine wakiwasili kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu cha Witwatersrand, Johannesburg, Afrika Kusini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa kujadili maendeleo ya matumizi ya nishati, Karne ya 21 kwa nchi za Afrika. (Na Mpigapicha WA HABARI LEO).

No comments:

Post a Comment