tuwasiliane

Thursday, May 24, 2012

24 MAY. HATIMAYE NCHUNGA AJIUZULU

HABARI AMBAZO BLOG HII IMEZIPATA HIVI PUNDE MWENYEKITI WA YANGA BWANA LLYORD NCHUNGA AMEJIUZULU NAFASI HIYO YA UWENYEKITI WA YANGA.

BLOG HII ITAENDELEA KUKUPA HABARI ZAIDI JUU YA TUKIO HILI LA KUJIUZULU KWA NCHUNGA MABAYE MWANZONI ALIGOMA KUJIUZULU

No comments:

Post a Comment