tuwasiliane

Thursday, April 26, 2012

26 APR. BAYEN MUNICH YAIFUATA CHELSEA FAINALI

HATIMAYE TIMU YA BAYERN MUNICH IMEFANIKIWA KUTIGA FAINALI YA MICHUANO YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE BAADA YA KUSHINDA PENATI 3-2 DHIDI YA REAL MADRD YA SPAIN TIMU HIZO ILIBIDI ZIFIKE HATUA YA KUPIGIANA PENATI BAADA KUMALIZIKA DK 120 HUKU MATOKEO YAKIWA GOLI 2 KWA MADRID 1 KWA BAYERN ILA KATIKA MCHEZO WA KWANZA ULIOFANYIA AREANSE ARENA MATOKEO YALIUWA KAMA HAYO KWA UPANDE WA BAYEN

No comments:

Post a Comment