tuwasiliane

Saturday, April 21, 2012

21 APR. MCHAKATO WA KUMNG`OA PINDA


Mbunge wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe akisaini karatasi inayokusanya saini za wabunge za kutokuwa na imani na Waziri Mkuu kwa lengo la kuwasilisha kwa Spika mjini Dodoma. Kulia ni Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Kabwe Zitto. (Picha na HABARI LEO).

No comments:

Post a Comment