tuwasiliane

Sunday, April 15, 2012

15 APR. MCHEZAJI AFIA UWANJANI UJEUMANI,KWENYE SERIE B


Kiungo wa Livorno Morosini amefariki katika mchezo wa Serie B baada ya kuanguka uwanjani

mchezaji huyo aliwahi kuchezea Italy Under 21 na kiungo Livorno Piermario Morosini amefia hospitalini baada ya kushambuliwa na cardiac arrest wakati akiichezea timu yake ya Serie B na Pescara.

mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 alianguka dakika 31 ya mchezo na alipata matibabu uwanjan –kabla ya kukimbizwa hospitali.

Mchezo ulisitishwa na wachezaji wakatoka na majonzi uwanjani.

kamati ya ligi ya serie b imethibitisha katika tovuti yake: ‘maafa uwanjani. baada kushambuliwa na cardiac arrest wakati wa mchezo kati ya Pescara na Livorno, Piermario Morosini amefariki.

‘mchezaji guyo alikuwa na umri wa miaka 25, aliweza kupanda hadi kuchezea serie b kutoka timu ya vijana ya Atalanta, alifika Livorno kutoka Udinese katika mwezi wa January alichezea mechi tisa the Amaranto.

Akiongea baada ya kusitishwa kwwa mchezo, escara’s general manager, Danilo Iannascoli, alisema: ‘aliniangalia machoni wakati anaingizwa katika ambulance.tunaishi kama tunaigiza.’

Vyombo vya habari vya itali vimesema kuwa gali ambalo lilikuwa ni la askari wa usalama barabarani liliziba njia na kuzuia ambulance kupita na askari hao hawakuwepo ilibibi kuvunja vioo vya gari hilo ili litolewe na ambulance ipite.

‘sijui kama ambulance ilichelewa, ila nachofahamu m chia ya uwanjani ilizuiwa na gari ,’ Iannascoli alisema. ‘Morosini alizimia, alijitahidi kuinuka ila akashindwa tena .’

No comments:

Post a Comment