tuwasiliane

Saturday, April 7, 2012

07 APR.BREAKING NEWZ KANUMBA KUZIKWA KWAO SHINYANGA


taarifa ambazo tumezipata hivi punde kuwa mwili wa mwigizaji maarufu steve Kanumba huenda akaenda kuzikwa Shinyanga,karibu kabisa na eneo ambalo alizikwa babu yake ambaye akanumba alilithi jina lake la steve

taarifa hizo tumezipa pindi TBC1 ilipofanya mahojiano na baba yake mzazi marehemu kanumba,mzee Charles Kanumba

Amesema anafanya mawasiliano na mama yake ili wawezenili waweze kusafirisha maiti hiyo hadi mkoani Shinyanga

BLOG YAKO PENDWA ITAENDELEA KUKUPA UPDATES MARA KWA MARA PINDI TUZIPATAPO

No comments:

Post a Comment