tuwasiliane

Monday, April 2, 2012

02 APR.Breking News: Yanga wapokwa point 3



Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga wamenyanganywa point 3 walizopata dhidi ya Coastal Union, na point hizo kupewa Coastal na goli 3 za ushindi.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Clouds FM Sports Xtra kunyanganywa kwa point hizo inafuatiwa baada ya Yanga kumtumia Nadir Haroub Cannavaro katika mchezo wake dhidi ya Coastal union wakati taarifa walishapewa ya kwamba Cannavaro hawezi kucheza mchezo.

Taarifa zaidi kesho

No comments:

Post a Comment