tuwasiliane

Wednesday, March 21, 2012

21 MARCH VILLA 1 JKT RUVU 2

Hali ya vijana wa Magomeni Villa Squad imeendelea kuwa mbaya baada ya leo kukubali kichapo cha goli 2-1 toka kwa maafande wa kujenga Taifa JKT Ruvu katika muendelezo wa ligi kuu ya Vodacom, uliochezwa katika uwanja wa Azam uliopo Chamanzi jijini Dar es salaam.

Msemaji wa Villa Squad Andrew Chale anasema kuwa; "Mchezo ulikua mzuri Villa ilipata nafasi nzuri sema ilishindwa kuzitumia, Refa alikua fear yeye na malaizimeni wake."

"Ndio kwa mara ya kwanza marefa wa leo wamechezesha fear mchezo wa Villa, bila shaka wanatufuta machungu kwa ile mechi ya Yanga waliowapa goli. Ila hatutakata tamaa..tutabaki ligi kuu Mungu yupo mwendo huu huu ..ipo siku tu," alisema Chale.

Wakati huo huo mchezo baina ya Yanga na Coastal Union haukufanyika leo, na umesogezwa mbel

No comments:

Post a Comment