
Licha ya ushindi walioupa wa mgoli 3-2 timu ya Manchester City imetupwa nje na timu ya Sporting lisbon kwa goli la ugenii.katika mchezo wa kwazna uliochezwa wiki 2 zilizopita timua ya sporting lisbon ilishinda goli 2-0
vile vile mahasimu wa Man city,timu ya Man United jana iliendelea kupokea kipigo baada kupata tena kipigo cha goli 2-1 kutoka kwa Athletic bilbao kwa matokeo hayo Man u wametolewa kwa jumla ya goli 5-2
No comments:
Post a Comment