tuwasiliane

Friday, March 9, 2012

09 MARCH.BREAKING NEWZ;MR BLUU AMDUNGA MIMBA DEMU WAKE


Ni Baada ya zile story zilizovuma na hatimae Byser mwenyewe kukubali kua anategemea kupata mtoto na mpenzi wake wa zamani sanaaa ambae anajulikana kama Wahda Mohamed....Sasa Nyota njema imeshaanza kuonekana ambapo mwanadada huyo tayari ameshaanza kuvaa nguo kubwaaaaaa kama unavyoona katika picha...Inavyosemekana muda si mrefu Blu a.k.a Byser ataanza kuitwa baba hivi sooon!!


SOURCE.WWW.UNIQUEENTERTZ.BLGOGSPOT.COM

No comments:

Post a Comment