
Mshambuliaji wa kitanzania ambaye anachezea timu ya Tp Mazembe ya Congo DRC mbwana samata amezidi kutakata katika ligi hiyo baada ya kuifungia tena timu yake katika mechi ya pili ya ligi ya Congo.
Samata aliifungia timu yake ya TP Mazembe goli pekee katika mechi yao ya pili jana dhidi ya SANGABALENDE.kWA wa Samata ktk mchezo huu mshambuliaji wa kitanzania Tomas ulimwengu pia aliichezea timu hiyo mchezo wake wa kwanza wa ligi. paulsen upo hapo?source ni wall ya samata "Thanks god. Jana 2mecheza mechi ye2 ya 2 ya Congo premier league na kupata ushindi mwembamba wa goli 1 ugenini dhidi ya SANGABALENDE.SANGABALENDE 0 - 1 TP MAZEMBE.mfungaji MBWANA SAMATTA.
Thanks god pia kwa kumjalia Tom ulimwengu kucheza mechi yake ya kwnza ya ligi akiwa na mazembe mungu mjalie nguvu zaidi".
No comments:
Post a Comment