
TIMU ya Simba SC leo imezidi kujikita kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuirarua timu ya Kagera Sugar kwa mabao 3-1, kwenye mchezo uliopigwa leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao mawili ya Simba yamewekwa kimiani na kiungo Patrick Mafisango na lingine likifungwa na mshambuliaji wa timu hiyo, Emmanuel Okwi.
No comments:
Post a Comment