Friday, February 24, 2012
24 FEB.BREAKING NEWZ;Mr. Blue kuachana na kuimba!
Msanii Mr. Blue a.k.a byser, anatengeneza news wikiendi hii baada ya kudai kuwa yuko kwenye michakato ya kubadilisha style ya muziki anayofanya kutoka kuimba mpaka kurap.
Kwa mujibu wa Blue, anatamani sana kurudi kwenye style yake ya zamani ambayo ndiyo iliyomtoa kunako ulimwengu wa muziki.
Katika kudhihirisha kuwa hatanii kuna wimbo mpya ambao anaratajia kuutoa hivi karibuni ambao utamuonesha namna alivyobandilika.
“Sihitaji kuimba kwasasa kwasababu najua style ambayo awali iliniweka juu kwenye chart,mashabiki wangu wataona utofauti wangu katika ngoma mpya ambayo itakuwa hewani soon,” alisema.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment