tuwasiliane

Friday, December 16, 2011

16 DEC. Neymar vs Messi huko Japani





Barcelona imefanikiwa kuingia katika fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia baada ya kuchabanga Al-Sadd mabao 0-4. Magoli ya Barcelona yamefungwa na Maxwell, Keita na Adriano (2).

Ni mchezo mzuri ambao utawakutanisha Neymar na Messi, Neymar alinukuliwa anafuraha kufananishwa na Messi.

No comments:

Post a Comment