
Simba jana wamepokea kichapo cha goli moja toka kwa Asante Kotoko katika mchezo wa kusheherekea miaka 50 ya Uhuru uliopigwa katika uwanja wa Taifa.
Asante Kotoko ilipata goli hilo katika kipindi cha pili, ambapo Simba walitumia kikosi cha pili kilicho onyesha kiwango cha hali ya juu na kupelekea kushangiliwa na mashabiki baada ya mchezo kumalizika.
No comments:
Post a Comment