
Manchester City imekataa ofa ya timu ya AC milan ya kumchukua mchezaji wao carlos teves kwa mkopo na kuja kumnunua kw kiasi cha 23m euros next summer.
Mabingwa hao wa italy walipeleka ombi lao kwa man city mnamo tarehe 6 December lakini klabu hiyo imeiambia BBC Sport siku ya jumapili kuwa wamekataa ofa hiyo wao
City wanataka kumuuza mchezaji huyo mwenye miaka 27 moja kwa moja..
Tevez and City wana sema kuwa taarifa ya kuwa wameshakubaliana na PSG si za kweli
PSG walimuhitaji Teves kwa mkopo tangu Octoba lakini sisi tuliwakatalia kwa kuwa sisi tunahitaji kumuuza moja kwa moja
Habari ambazo BBC ambazo imezipata kutoka chanzo cha karibu na Teve sinadai kuwa mchezaji huyo hajafanya mawasiliano yeyeote na PSG
“Carlos hajafanya mazungumzo yeyote na PSG.”Kilidai chanzo hicho
Ifahamike kwamba milan inamuhitaji kumchukua Teves lakin man city haiko tayari kumtoa kwa mkopo,klabu inahitaji kumuuza moja kwa moja mchezaji huyo ili kumalizana naye
No comments:
Post a Comment