Friday, November 4, 2011
JESHI LA POLISI MWANZA LAUUA MAJAMBAZI WATANO
Jeshi la polisi limefanikiwa kuwaua majambazi watano waliokuwa wakitaka kupora ktk duka la mfanya biashara mmoja wa kiasi,ilikuwa majira ya saa 3 na nusu asubuhi ripota wa blog hii bwana Mohamed Kajomela aliponipigia simu ya kujijulisha juu ya tukio hili.majambazi mawili kati ya matano yaliweza kutambuliwa mmoja anaitwa Said Maurid,na mwingine ni mrundi,kwa mujibu wa kamamnda wa polisi majambazi haya ndiyo majambazi yaliyokuwa yanasumbua kwa muda mrefu sana,wakiongea na blog hii baadhi ya wakazi wa jiji la mwanza wamelipongeza sana jeshi la plosi kwa kazi nzuri walioifanya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment