tuwasiliane

Wednesday, November 2, 2011

EXCLUSIVE: MBWANA SAMATTA AVUNJA REKODI CONGO - AFUNGA MAGOLI 6 KWENYE MECHI MOJA


Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea klabu ya TP Mazembe leo amefanya maajabu makubwa katika historia ya soka la nchini Congo baada ya kufunga magoli 6 kati ya 13 yaliyowekwa kimiani na TP dhidi ya FC Police katika michuano ya ligi ya jimbo la Katanga.

No comments:

Post a Comment