tuwasiliane

Sunday, May 13, 2012

13 MAY. SIMBA VS AL AHLY SHANDY LIVE STAR TV


HABARI AMBAZO TUMEZIPATA MUDA MCHACHE ULIOPITA KUWA MECHI KATI YA YA MABINGWA WA SOKA WA TANZANIA 2012/2013 SIMBA NA AL AHLY SHANDY ITAONESHWA MOJA KWA MOJA NA STAR TV.KUANZIA SAA MBILI KAMILI USIKU KWA SAA ZA AFRIKA YA MASHARIKI NA KATI

SIMBA AMBAYO INAAZINA YA USHINDI WA MAGOLI 3-0 KATIKA MCHEZO WA KWANZA WANAHITAJI SARE YA AINA YEYOTE ILE ILI KUWEZA KUSONGA MBELE. HATA KAMA SIMBA ITAKUWA IMEFUNGWA MAGOLI 2-0 ITAWEZA KUSONGA MBELE YA KWA MICHUANO HIYO IKISUIBILI TINU AMBAZO ZIMETOLEWA KWENYE CHAMPIONS LEAGUE

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI SIMBA.KILA LA KHERI SIMBA

No comments:

Post a Comment