tuwasiliane

Sunday, May 13, 2012

13 MAY.Fid Q: Hakuna freemasons Bongo na kuamini hivyo ni 'ujinga'



Jumapili hii Fareed Kubanda aka Fid Q ametoa nafasi kwa watu wanaomfollow twitter kumuuliza maswali. Yafuatayo ni miongoni mwa maswali hayo na namna alivyoyajibu katika topic aliyoipa jina la #AskFidQ.

1. Kitu gani kitakufanya unyoe nywele?
Fid: Mama yangu mzazi akisema dread hazinipendezi.
2. Kwanini humpendi Cabo Snoop?
Fid:Yale mauno yake ya kike
3. Una lipi kuhusiana na mtu akifa ndo anaonekana muhimu?
Fid: Huwa naona kama ni unafiki fulani hivi au nakosea?
4. Hivi itakuaje Fei akifuata nyanyo zako?
Fid: Sio mbaya sana japokuwa mie binafsi nisingependelea afuate nyayo
5. Unadhani muziki unaofanya umekupeleka pale unapopataka wewe?
Fid: Ndio.. Nilipotoka ni mbali sana.
6. Ikitokea uchague kuandikiwa ngoma na mc mwenzako, yupi ungependa akuandikie?
Fid:Zavara
7. Ni muda upi sahihi kwako kuingiza vocal.. Day or 9t
Fid:9t
8. Ulishawahi kuzinguana na Clouds Fm?
Fid:Wewe ushawahi kusikia?
10. Artist gani wa mbele una dream kufanya nae ngoma siku moja?
Fid:Lauryn Hill
11. Je..! ulishafikilia kutoa ngoma na Kala Pina au mtu yoyote wa kikosi?
Fid;Nishawahi kufikiria kutoa na Hasheem Dogo
12. Ni muda mrefu hajatokea msanii mpya wa Hip hop toka Mwanza akahit kama wewe, unadhani ni kwanini?
Fid;Hata sijui aisee
13. Ni punch gani kali na zenye focus kati ya Nick Mbishi na Stamina?
Fid; Mbishi
14. Ukiwa umechili home unaskilizaga ngoma zipi,za bongo au mbele?
Fid;Za akina Mbaraka mwishehe na wazee wenzake wote
15. Nitajie wasanii 2 unaowakubali hapa 255
Fid:GraceMatata na Jaydee
16. Ukiwa na stress unafanyaje?
Fid;Nakunywa Juice ya tende kisha nalala
17. Kwanini wsanii wa Uganda na baadhi Kenya ni matajiri lakini bongo wasanii ni masikini?
Fid; Muziki upo Tz,awards Kenya na Mkwanja Uganda!
18. Wewe siyo mjuaji sana lakini mengi tu unayajua,kuna wasanii mafreemason bongo?
Fid:Hakuna na kuamini hivyo ni ujinga
19 Kati ya GNL na Navio nani unamzimia toka Uganda?
Fid: Navio
20. Can u rank piracy problem in east Africa?TZ tupo nafasi ya ngapi?
Fid:Ya kwanza.. Zenji na lake zone hawauzi orijino
21: Eti Fid unaoa lini?
Fid:Bado nipo nipo kwanza
22. Una mchumba?
Fid:Nimtolee wapi? Wenye bahati hiyo wanahesabika dada yangu @hellenbagala
23. Producer gani unaemkubali Tanzania?
Fid:Kwasasa ni TexaZ
24: Niliwahi kusikia Kikosi wanakudiss kwenye ngoma zao. Ulijisikiaje? Na ulichukua uamuzi gani?
Fid: Wa kiume.

No comments:

Post a Comment