MAGOLI MAWILI YA WAYNE ROONEY NA MOJA LA WELBECK YAMEIWEZESHA MAN U KUIBUKA NA USHINDI WA BAO 3 KWA MBILI. MAGOLI YA WASHINDI YOTE YALIPATIKANA KTK KIPINDI CHA KWANZA. GOLI MBILI ZA MAN CITY ZILIFUNGWA NA KOLAROV NA AGUERO KTK KIPINDI CHA PILI KWA MATOKEO HAYO MAN U IMEWEZA KUSONGA MBELE NA MICHUANO YA FA NA KUITUPILIA MBALI KLAB YA MAN CITY
No comments:
Post a Comment