tuwasiliane

Saturday, May 12, 2012

12 MAY.BREAKING NEWS! SIMBA WAZIMIWA TAA,WAZUIWA KUFANYA MAZOEZI


Taarifa nilizozipata hivi punde Simba imezuiliwa kufanya mazoezi na wenyeji wake timu ya AL AHLY Shendi.

'' Visa vimekuwa vikubwa mno hata sijui hawa jamaa wanataka nini,jamaa wamegoma kutuachia uwanja tufanye mazoezi ''- Mjumbe wa kamati ya Utendaji,Swed Nkwabi

No comments:

Post a Comment