
Baada ya shilingi milioni tisa kupelea katika milioni 25 zilizohitajika kumpeleka mwigizaji Sajuki kwenda India kutibiwa, Mwigizaji Jackline Wolper yeye mwenyewe amejitolea dola za kimarekani elfu kumi zaidi ya milioni 15 za kitanzania kwa ajili ya matibabu ya Sajuki.
Kiwango hicho kikubwa cha pesa kimemaliza kabisa hitaji la pesa nyingine zilizokua zimepelea ambapo mbali na hayo kampuni yake ya Dallas Entertainment inamsimamia msanii huyo kwa malazi na chakula kwa kipindi chote atakachokuepo India
No comments:
Post a Comment