Wadau mbalimbali wa usafiri wa anga wakishuhudia ndege mpya aina ya Q400 NextGen ya Kampuni ya Bombardier ya Canada, katika hafla fupi ya maonesho ya ndege hiyo iliyotua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. (Picha na HABARI LEO).
No comments:
Post a Comment