"Wapendwa hivi karibuni natarajia kurelease ngoma yangu mpya ambayo itaitwa 'GUBE GUBE MiXA MAGUME GUME' ikiwa ni zawadi ya kufungulia kwa wapenzi wa muziki wangu.
Hata hivyo Barnaba alisema ngoma hiyo haina uhusiano wala si majibu ya nyimbo Magumegume iliyoimbwa na malkia wa Taarab Khadija Kopa.
Baada ya kurelease audio nitafanya video na itakuwa ndio nyimbo yangu mpya ya kuzindua albam yangu ya mwaka 2012.
No comments:
Post a Comment